🍒Nywele zenye high porosity zina beba unyevu unyevu, mafuta na bidhaa zingine haraka sana.


🍒Iko na porous kali na haihifadhi unyevu unyevu; Hii ina maana ni prone kwa ukavu na unyevu unyevu. Jinsi inavyopokea unyevu haraka na kuupoteza pia ni haraka hivyo hivyo.


🍒Protein balance ni muhimu kwenye aina hizi za nywele.


🍒Likija suala la kuzijali nywele zenye high porosity matumizi ya products za nywele zenye protein ni muhimu sana. 


🍒Nywele zenye high porosity zina gaps kwenye hair shaft sababu ya jinsi cuticles zilivyokuzwa. 


🍒Matumizi ya protein yanasaidia kujazia izo gap kwa muda ambapo mwisho wa siku inaipa strength nywele.


🍒 Matumizi ya protein kwenye nywele zenye high porosity yatasaidia nywele kujaa na kuwa nzito, itaongeza elasticity na kupunguza ukatikaji wa nywele pia.



MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

🌿Kufanya Deep conditioning mara kwa mara

-  Ukifanya process ya kudeep condition mara kwa mara, process iyo inasaidia kuipa nywele yako virutubisho na kuipa unyevu unyevu..

- Mafuta yanayofaa kwa ajili ya conditioning ni castor oil, olive oil, hemp seed oil, coconut oil, shea butter na mango butter.


🌿Kupunguza matumizi ya chemicals n moto kwenye nywele.

- Epuka matumizi ya shampoo zenye sulphate. High porosity hair iko prone to dryness so ni muhimu kutumia sulphate free shampoos ambazo zitaprovide usafishaji wa kiasi sio wa kufikia kukakamaza nywele.


🌿KuDetangle kwa umakini.

-Wenye high porosity hair cuticles zao zipo wazi. Ni rahisi zaidi kujifunga. -Tumia zaidi chanio lililo pana  kuchana wakati wa kuondoa mfungano wa nywele, unaweza kutumia vidole pia.

-Epuka kufungua nywele zikiwa kavu, tafadhali tumia maji na mafuta kufanya process hiyo.