Ili kuelewa vizuri nywele ambazo ni low porosity angalia somo Namba: 15. TAMBUA AINA YA NYWELE ZAKO NA JINSI YA KUZITUNZA
🍒Lakini kiufupi kama una nywele zenye low porosity, ina maanisha structure ya nywele yako haipokei/ kukubali moisture/unyevu kirahisi na kuwa absorbed kwenda kwenye hair shaft.
🍒Low porosity hair hazihitaji protein sana kwa kuwa zina protein natural zenyewe
🍒Low porosity hair zinakuwa protein sensitive; Kwa hiyo ni vyema mtu mwenye nywele zenye low porosity kukaa mbali na bidhaa zinazotengenezwa na proteins.
🍒Bidhaa zenye proteins sana zinaweza kufanya nywele zako kujiskia brittle na pia kufanya zikatike kirahisi.
😓Mfano mafuta ya nazi hayawezi kuwa mazuri kwa watu wenye nywele zenye low porosity.
INAENDELEA...
Post a Comment
Post a Comment