TUJIFUNZE ZAIDI KUHUSU DREADS (DREADLOCKS)
Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists (Ngagpas of Tibet), Uyahudi (Nazarines peoples), Hamitic people of North Africa, Watakatifu wa Ethiopia na Oromos wa Ethiopia, Wasemitic, Wamisri wa zamani, Watakatifu wa Spartan wa ugiriki, na Kwenye uislam kuna wasufi wanaitwa Qalandariala (wana natural dreadlocks) na Rastafarians (katika sects zote za Orthodox, Twelve tribes of Judah, Bobo Shanti na Spirituals). Pia kuachana na Imani imekuwa ni style kuonyesha jinsi unavyoheshimu nywele zako za asili (Your natural hair)(Kwa Non-Africans and Africans)
Ushahidi wa kisaikolojia wa kale unaonyesha aina hii ya nywele kiimani imeanza kutumika miaka kati ya 5000BC - 4500BC na ina umuhimu mkubwa sana katika imani nyingi.
Kwa miaka ya sasa watu wamesahau heshima yake, ila wapo watu ambao wanapenda dreadlocks na wanazo, wanazitunza na kuzijali bila matatizo yoyote na wakiendelea kufanya shughuli zao za kimaendeleo (Sizungumzii wahuni wa mitaani). Pia wapo wengine wanazo kwa sababu ya Imani na wengine kwa sababu ya fashion.
TUTAENDELEA NA JINSI YA KUTUNZA DREADLOCKS
Post a Comment
Post a Comment