SABABU 

💕Magonjwa ya kisaikolojia ya muda mrefu

💕Uvutaji wa sigara kupita kiasi

💕Kinga ya mwili kuwa chini kutokana na magonjwa yatokanayo na virusi

💕Mabadiliko ya hormone katika mwili, mabadiliko ya mazingira, mabadiliko ya mzunguko wa damu kichwani

💕Urithi

💕Kuwekwa ganzj wakati wa matibabu

💕Mlo usio sahihi

💕Ujauzito na kunyonyesha

💕Magonjwa ya kichwa

💕Matunzo hafifu ya nywele


Na mengine mengi tutaendelea kujuzana kadri siku zinavyoenda.


JINSI YA KUEPUKA AU KUZUIA/KUTIBU ENDAPO UMESHAPATA TATIZO HILO.

🧚🏻‍♀️Hakikisha nywele zako haziwi kavu

🧚🏻‍♀️Kula mlo kamili ikiwa ni pamoja na matunda na kunywa maji ya kutosha

🧚🏻‍♀️Kutumia bidhaa zisizo na viambata sumu

🧚🏻‍♀️Kuacha tabia hatarishi kama vile kuvuta sigara nk


ITAENDELEA…