JINSI YA KUFANYA HOT OIL TREATMENT
Hot oil treatment ni kitendo cha kupaka mafuta ya moto au yenye joto kichwanai (hasa kwenye ngozi ya kichwa).
🧚🏻♂️Hii inafanyika kwa kupasha mafuta joto kisha hutumika kumassage kichwa chako ususani kwenye ngozi sio nywele, hot oil treatment ni muhimu kwa ngozi kavu(nazungumzia ya kichwa) kama ngozi yako ina kiwango kizuri cha maji au yamezidi usitumie hii itumike kwa wale wenye ngozi kavu tu ili kushtua ngozi kupokea virutubisho kirahisi.
Mafuta yanayoweza kutumika hapa ni kama vile;
🧚🏻♂️Almond oil
🧚🏻♂️Coconut oil
🧚🏻♂️Black Castor oil
🧚🏻♂️Avocado oil
🧚🏻♂️ Black seed oil
🧚🏻♂️Carrot oil
Mara zkte kwenye products za nywele hasa mafuta ni kujaribu na kujaribu mpaka mwisho kuja kupata kitu gani nywele zako zinakubali na kuzingatia. Zingatia sna nywele yako inakubali mafuta gani vizuri, pia kama unamba, miwasho au vidonda usitumie.
JINSI YA KUANDAA
🧚🏻♂️Chemsha maji ya moto
🧚🏻♂️ Chukua mafuta weka kwenye chombo cha bati kisha kalisha juu ya maji ya moto
NB: Unaweza kuchanganya mafuta mawili tofauti halafu ukayapasha moto na kutumia.
🧚🏻♂️Hakikisha nywele yako ni safi kata mistari anza kupaka kisha massage vzr kichwa chote.
FAIDA ZA HOT OIL TREATMENT
👉Kuongeza mzunguko wa damu kichwani
👉Kupunguza ukavu kichwani maana matundu ya nywele yatafunguka kupelekea mafuta na maji kupenetrate vzr.
👉Nywele kuwa imara zaidi
👉Kupunguza nywele kujikunja sana au kujifunga
Unaweza kufanya hot oil treatment mara moja kwa mwezi, lakini ni vizuri kufanya kila wiki baada ya kuweka steaming wakat nywele bado safi halafu una massage Kwa nusu saa.
Post a Comment
Post a Comment